profit

n 1 mafaa, manufaa to one's ~ kwa mafaa yake. 2 faida at a ~ kwa faida make ~ on something pata faida kwa kitu. ~ and loss account n akaunti ya faida na hasara. ~ margin n faida halisi. profitsharing n kugawana faida (waajiri na waajiriwa). vt,vi 1 ~ from/by faidi. 2 saidia; saidiwa (na), pata faida (kwa) it ~ed him nothing haikumfaidia chochote. 2 (arch) (of things) -wa na manufaa kwa. ~ able adj. profitless adj. profitlessly adv. profitably adv. profiteer n mlanguzi vt langua. profiteering n.