profile

n 1 umbo kwa upande, sura ya (umbo la) mtu au kitu kwa upande (si kwa mbele yake) in ~ kama -onekanavyo kwa upande. 2 ukingo wa kitu. 3 maelezo mafupi (juu ya mtu). vt toa sura ya umbo, toa maelezo mafupi; chora kwa upande be ~d against something -wa mfano wa kitu.