profess

vt,vi 1 tangaza, toa kauli/hoja, sema wazi. 2 (rel) shuhudia, ungama, kiri; weka nadhiri. 3 -wa mweledi, fanya kazi ya. 4 dai; jidai. professed adj -nayojidai; (rel) -lioweka nadhiri I don't ~ to be an expert sijidai kuwa mtaalamu. professed adj. professedly adv. profession n 1 weledi, ubingwa. 2 ~ion of kauli; ungamo, nadhiri. 3 (leg) the ~ion jamii ya weledi/mabingwa/maulama. professional adj 1 -a weledi. 2 -a kazi ya kulipwa (agh. katika michezo). ~ ional n mchezaji wa kulipwa. professionalism n 1 sifa za ubingwa/weledi. 2 (of games) uajiri wa wachezaji wa kulipwa. turn ~ional anza kuwa mchezaji wa kulipwa. professor n 1 profesa assistant ~or profesa msaidizi associate ~ or profesa mshiriki (US) full ~ or profesa. 2 mwalimu. 3 mtangaza imani. professorship n uprofesa. professorial adj -a kiprofesa.