profane
adj 1 (contrasted with sacred) -a ulimwengu/dunia. 2 -enye kukufuru ~ language maneno machafu. profanity n mwenendo/ tabia/lugha mbaya/chafu. 2 (pl) matusi. profaneness n. profanation n utoaji maneno ya kufuru; utumiaji wa lugha chafu, upujufu.