proclaim

vt 1 tangaza, piga mbiu, eneza, toa ilani ~ somebody a traitor tangaza mtu kuwa haini. ~ war piga mbiu ya vita, tangaza vita. 2 onyesha, bainisha. proclamation n.