process

n 1 njia, jinsi, namna. 2 mfuatano/mlolongo wa mambo; maendeleo. in ~ of time wakati wa. 3 mfanyiko tendani the Bessemer ~ mfanyiko tendani wa Bessemer. 4 (leg) hati. ~ server n mwasilishi hati. legal ~ n daawa, mashtaka, hukumu. 5 in ~ wakati inapofanyika. vt tengeneza, tenda; (photography) safisha. processing adj -a utengenezaji vi andamana. procession n mfuatano, msululu; (demonstration) maandamano walk in a ~ion andamana. processional adj -a maandamano.