proceeding

n 1 kutenda/utendaji (wa) jambo; namna ya kutenda jambo/ kitu. 2 tendo, jambo lililotendwa. 3 (pl) take/start legal ~s (against somebody) shtaki, dai sheriani. 4 (pl) kumbukumbu, mashauri mafupi.