probation

n 1 majaribio on ~ katika majaribio. 2 the ~ system n (leg) mfumo wa majaribio (ya wahalifu kuishi bila kufanya kosa). ~ officer n ofisa wa majaribio. probationary adj -a majaribio. probationer n 1 nesi mwanafunzi (katika majaribio). 2 (leg) mhalifu (aliye chini ya majaribio/uangalizi).