prize

prize

1, prise vt ~ up (out, open) fungua kwa nguvu (kwa mtaimbo, n.k.).

prize

2 n 1 tuzo, zawadi. 2 (fig) kitu cha thamani, azizi, dafina. 3 ~ fight n shindano la masumbwi la kulipwa. ~ fighter n bondia wa kulipwa. ~- fighting n mashindano ya masumbwi (ya kulipwa). ~ring n ulingo wa masumbwi. 4 ~ man n mshindi wa tuzo ya uanazuoni. ~ winner n mshindi wa tuzo. vt thamini sana, tunuka.

prize

3 n mateka; nyara (aghalabu meli au mizigo yake) wakati wa vita. ~- money n 1 fedha itokanayo na mauzo ya nyara. 2 dau.