privy
adj 1 (leg) -a siri. be ~ to jua siri, shiriki siri. 2 P ~ Council n Baraza (la ushauri la Mfalme). ~ seal n lakiri ya Mfalme. P ~ Purse n ruzuku ya mfalme n (arch) choo. privily adv kwa siri. privity n 1 uhusiano privity of contract uhusiano katika mkataba privity of estate uhusiano katika miliki. 2 siri, maarifa ya siri.