privilege

n 1 marupurupu. 2 faida kubwa listening to him was a ~ ilikuwa ni faida kubwa kumsikiliza. 3 haki diplomatic ~ haki za kidiplomasia parliamentary ~ haki ya Bunge. 4 upendeleo, fadhila. 5 heshima I was ~d to see the President nilipewa heshima ya kumwona Rais. vt pendelea. privileged adj -liobahatika. ~d class n tabaka la matajiri. under-~d adj wachochole, maskini.