adj 1 -a binafsi ~ property mali ya binafsi. ~ schooln shule ya kulipa/binafsi. ~ enterprisen biashara binafsi. ~ meansn mapato binafsi (yatokanayo na mali/ vitegauchumi vya mtu binafsi). 2 -a faragha, -a siri keep something ~ weka vitu faraghani. ~ partsn uchi, sehemu za siri. 3 -sio nakazi/cheo rasmi (katika serikali au shirika). retire into ~life acha kazi ya serikali. ~ membern (GB) mbunge huru asiye na chama. 4 ~ soldiern askari (asiye na cheo) n 1 askari. 2 faragha, siri. in ~ faraghani, sirini. privatelyadv. privacyn 1 faragha right to privacy haki ya kutoingiliwa do somethingin strict privacy fanya kitu faraghani sana. 2 siri.