1n 1 chapa. 2 alama foot ~s nyayo finger ~s alama za vidole. 3 kitabu; chapisho. 4 kitambaa cha maua. 5 (of a book)in ~ kilichochapishwa na kinachouzwa. out of ~ kitabu kisichopatikana; kutopatikana in large ~s kwa maandishi makubwa. 6 picha, mchoro. 7 mwandiko wa wima. ~ - sellern mwuza michoro. vt,vi 1 tia alama; (fig)(impress) ingiza moyoni, tia moyoni.2 piga chapa his paper is now being ~ed gazeti lake liko mtamboni. 3 ~ (off) safisha picha; ~ outn karatasi za kompyuta zilizochapwa. 4 (of plate or film) chapisha. 5 weka alama/mchoro (kwenye nguo/kitambaa). printableadj -a kuchapika. printern mpiga chapa. ~ing - inkn wino wa kupigia chapa ~ing -machine; ~ing pressn matbaa. ~ing officen matbaa; kiwanda cha kupiga chapa.