principal

adj -kuu n 1 mkuu. 2 (fin) rasilimali, mtaji. 3 wakala. 4 (leg) mhalifu mkuu. 5 (of house) kombamoyo kuu. principally adv kwa kiasi kikubwa, kwa kawaida.