prince

n 1 mwana mfalme. the P~ of Peace Kristo. P~ Consort n mme wa Malkia. princedom n dola ya mwana mfalme. 2 mtoto wa kiume katika ukoo wa kifalme. princely adj -a kustahili ufalme; zuri, -a fahari. princess n kibibi, binti mfalme. principality n himaya ya mwana mfalme.