prime

adj 1 -kuu, -a kwanza. P~ Minister n Waziri Mkuu. P~ Meridian n Meridiana Kuu. 2 (math) tasa. ~ number n namba tasa. 3 bora ~ meat nyama bora. 4 -a asili, -a msingi. ~ cost n bei ya uzalishaji tu. ~ mover n chanzo cha nguvu; (fig) mwanzilishi in ~ condition katika hali ya asili. n 1 upeo, ukamilifu, usitawi, uzima he is past his ~ amezeeka the ~ of life ujana. 2 sehemu iliyo bora. 3 mwanzo. 4 (rel) ibada ya alfajiri. vt 1 andaa ~ a gun (hist) tia baruti kwenye bunduki ~ a pump (fig) weka rasilimali/fedha katika mradi (ili kuuendeleza). 2 somesha mafundisho ya kwanza, erevusha, julisha mambo. 3 pa/jaza na chakula au kinywaji. 4 paka rangi ya mkono wa kwanza. 5 tia maji (mafuta, petroli) kidogo. 6 pewa/pa taarifa za kweli. ~er n 1 (of school) kitabu cha kwanza 2 fataki (kwa kuwasha baruti) 3 mpako/mkono wa kwanza wa rangi. priming n 1 baruti. 2 mpako/mkono wa kwanza wa rangi.