adj -a kwanza, -a awali; -a msingi. ~ coloursn rangi za msingi: nyekundu, buluu na manjano ~ school shule ya msingi ~ assembly (meeting) mkutano wa awali wa siasa. (USA)primaries uchaguzi wa mwanzo. 2 (important) -a muhimu, kuu, -a maana. primarilyadv kwanza; hasa. primaadj 1 -a kwanza, -a asili. 2 (important) -kuu, -a msingi. prima donnan mwimbaji mkuu wa kike katika opera; (colloq) -enye majivuno. primaballerinan mchezaji mkuu wa kike katika balei.