priest

n 1 kasisi, padri. ~ ridden adj -liotawaliwa mno na mapadri. 2 kuhani. priestcraft n ujanja wa makuhani au makasisi. priestess n kasisi wa kike. ~ hood n jumuiya makasisi. ~ly; ~like adj -a padri, -a kasisi, -a kuhani.