pride

n 1 kiburi, majivuno, usodai. false ~ n majivuno yasiyo na msingi. 2 (display) fahari, makuu; kujikweza mno. take (a) ~ in somebody/something ona fahari juu ya mtu/kitu. ~ of place nafasi yenye hadhi kubwa. 3 heshima wound somebody's ~ haribu heshima ya mtu. 4 kitu cha kujivunia, kitu cha kusifiwa sana, tunu, kipenzi. 5 the ~ of kipeo. 6 kundi. ~of lions kundi la simba. vt (reflex) ~ oneself on/upon something jidai, jivunia.