preview

n onyesho la awali (la filamu, mchezo n.k) kabla ya kuonyeshwa kwa wote. vt onyesha mchezo, filamu, n.k. kabla ya kuonyeshwa kwa wote.