pretty
adj 1 -zuri; safi; -a kupendeza. 2 (colloq) -kubwa -ingi. a ~ penny pesa nyingi. 3 (kwa mwanariadha) hodari. n (used of a child) kipenzi. my ~ kipenzi changu. come to/reach a ~ pass fikia hali ngumu adv kiasi. ~ much/ nearly/almost karibu it is ~ hot joto kiasi I'm ~ well sijambo kidogo/kiasi. sitting ~ (colloq) katika nafasi nzuri. prettily adv. prettiness n.