prestige

n 1 sifa njema, hadhi kubwa (kwa ajili ya matendo, maarifa, tabia n.k. inayojulikana). 2 heshima, fahari kuu (inayotokana na mafanikio, mali, n.k.).