pressure

n 1 shinikizo; kanieneo. ~ cooker n sufuria ya mvuke. ~ gauge n geji ya kanieneo. 2 mkazo, mbano, mlemeo exert ~ bana. be/come under ~ banwa. bring ~ to bear pretext on somebody/put ~ on somebody/put somebody under ~ (to do s th) shurutisha. ~ group n kundi shawishi: kundi/shirika la watu linalojaribu kuvuta serikali/wabunge/wananchi wawe upande wao. at high ~ kwa nguvu/kasi sana. pressurized adj (of an aircraft, a submarine etc) -enye kudhibiti kanieneo.