press

n 1 mgandamizo. 2 shinikizo, kisindiko; mtambo wa kusindika. 3 the ~ waandishi wa habari/magazeti. the freedom of ~ n uhuru wa magazeti. ~ agent n afisa uhusiano/ mtangazaji (wa wasanii). ~ box n kibanda cha waandishi wa habari. ~ conference n mkutano baina ya waandishi habari. ~ cutting/ clipping n kipande kilichotolewa gazetini/jaridani (kwa kukata). ~ gallery n ukumbi wa waandishi habari bungeni. ~ lord n kizito wa magazeti. ~ photographer n mpiga picha wa gazeti. 4 upigaji chapa (also printing ~) kiwanda/mtambo wa kupiga chapa. in the ~ mtambo, vitabu, n.k.. ~ mark n alama ya maktaba (kwenye kitabu). 5 umati (wa watu), msongamano; zahama. 6 kabati (la nguo, vitabu n.k.). 7 ~ gang n kundi (la kukamata watu na kuwalazimisha wajiunge na jeshi). vt,vi 1 gandamiza. 2 minya; (of button, etc) bonyeza, bofya. 3 (of fruit) kama, sindika. 4 (of clothes) piga pasi, nyoosha. 5 (mill) bana. 6 (argument) ~ something on/upon somebody sisitiza. 7 ~ for sihi; dai sana,himiza. 8 be ~ed for pungukiwa na. 9 (of people) songamana. 10 ~ somebody for something dai; sukuma. 11 Time ~es hapana muda (wa kupoteza). 12 ~ (down)/ (up) on somebody/ something lemea, gandamiza. 13 ~ on/forward endelea kwa bidii adj 1 -a haraka, -a hima. 2 muhimu. 3 -a kudai. n chapa ya sahani ya santuri.