preserve

vt 1 ~ from tunza, linda. 2 hifadhi (kwa kukoleza, kukausha, n.k.). 3 (of game) hifadhi. n 1 jemu. 2 hifadhi (za wanyama). poach on another's ~ shiriki/ingilia kazi (ambayo kwa kawaida ni ya mtu mwingine). preservable adj. preserver n kihifadhi; mlinzi, mhifadhi, mwokozi. preservation n kulinda; hifadhi; kuhifadhi hali be in a good state of preservation -wa katika hali ya kutunzwa vizuri. preservative adj -a kulinda, -a kuponya, -a kuhifadhi n dawa ya kuzuia kitu kisioze.