presbyterian

n P ~ Church n kanisa la Kiprotestanti (linaloongozwa na wazee wenye cheo sawa); muumini wa kanisa hilo. ~ism Upresibiteri. n mfumo wa uongozi wa kanisa la Presibiteri. presbyter n mzee wa kanisa. presbytery n 1 uongozi wa baraza la mkoa wa kanisa la Presibiteri. (RC) nyumba ya paroko.