premium

n 1 zawadi; bonasi. put a ~ on somebody fanya mtu ashawishike kufanya jambo fulani. put a ~ on something shawishi. 3 ada insurance ~ malipo ya bima. 4 malipo ya uanagenzi. 5 thamani ya juu. at a ~ (fig) -liothaminiwa sana.