premise/premiss

n 1 kauli -gezi/ kigezo: kauli ambayo ndiyo msingi wa maelezo au hitimisho. 2 kigezo mantiki: mojawapo ya sehemu mbili za kwanza katika hitimisho la kimantiki. 3 (pl) kipande cha ardhi chenye majengo; nyumba au sehemu ya nyumba na eneo linaloandamana nayo. 4 (leg) maelezo ya mali na majina (ya wenye mali) katika sehemu ya kwanza ya mkataba wa kisheria. vt ~ (something/that) sema kwanza.