preliminary

adj -a mwanzo, tangulizi ~ inquiry uchunguzi wa mwanzo. n 1 kitangulizi, utangulizi. 2 (pl) preliminaries mambo ya mwanzo/ awali.