prejudice

n 1 maoni/hisia za mapenzi/ chuki bila sababu. 2 (leg) athari, madhara, dhuluma to the ~ of somebody kuelekea kumletea fulani madhara. without ~ (to) bila kuleta athari/madhara kwa haki/madai yaliyopo. vt 1 pendelea, bagua; chukiza. ~ somebody (against/in favour of somebody/something) fanya upendeleo kwa/dhidi ya. 2 dhuru, athiri; haribu/punguza upendeleo wa mtu. prejudicial adj.