pregnant

adj 1 -enye mimba ~ woman mjamzito. 2 (of words, actions) -a maana nyingi this is a very ~ word neno hili lachukua maana nyingi. ~ with adj -liojawa na. pregnancy n mimba, ujauzito. pregnable adj (of fort etc) -lioweza kukamatwa/ kuingilika.