prefix

vt ambisha awali; tia mwanzoni; tanguliza. n 1 (gram) kiambishi awali. 2 neno au jina lililotiwa kabla ya jina la mtu, k.m. Bw., Bi, Dk.