prefer

vt 1 ~ (to) stahabu, hitari; penda zaidi he ~s to die rather than (to) surrender anaona heri kufa kuliko kujisalimisha 2. leta (mashtaka, maombi, n.k.). ~ a charge/charges against somebody shitaki mtu. 3 ~ somebody (to somebody) pandisha cheo. preferable adj afadhali, zaidi, heri, -ema zaidi, bora. preferably adv. preference n 1 upendeleo,hiari a mark of ~ence alama ya upendeleo. 2 kiteule, kitu kilichohitariwa this is my ~ence napenda hiki. 3 hisa,uteuzi. ~ence share hisa maalum ya upendeleo. preferential adj -a kupendelea/upendeleo. preferment n kuzidisha cheo, kupandisha cheo; kupata kazi/daraja bora.