predicate

vt 1 (formal) semea, arifu. 2 sababisha, leta. n (gram) kundi arifu; kiarifu: neno au kundi linalotoa maelezo/taarifa juu ya kiima, k.m. is beautiful yu mrembo, katika Upendo is beautiful upendo yu mrembo. predication n. predicative adj (gram) arifu, -a maelezo.