vtseepredestine. ~ adj -liojaaliwa, -lioamuliwa/andikwa kabla. predestinationn majaaliwa; nadharia ya kwamba yote yatokeayo ni maamuzi ya Mungu na binadamu hana utashi nayo; nadharia ya kwamba Mungu ameamua kuwa wengine watakwenda mbinguni na wengine motoni. predestinevt~ somebody to something/to do something(of God, fate) amua kabla; amulia kabla.