precise

adj 1 (accurate) sahihi, sawasawa kabisa at that ~ moment wakati uleule. 2 wazi, dhahiri. 3 (careful) -a taratibu, -angalifu. 4 -a kushika desturi/kawaida barabara. ~ ly adv kwa usahihi/uangalifu; kabisa. precision n usahihi, utaratibu, kutokuwa na makosa mahususi.