precious

adj 1 -a thamani, -a tunu, ghali ~ stone kito. 2 -a thamani kubwa, -a kupendwa sana. 3 (colloq) kabisa, mno a ~ fool mpumbavu. 4 (of language) -a kujifanya fasaha (kupita kiasi). preciously adv. preciousness n. preciosity n ufasaha uliokithiri.