precinct

n 1 ua, (hasa wa kanisa). 2 (pl) mazingira ya jirani. 3 mpaka. 4 (US) jimbo la uchaguzi; kituo cha polisi. 5 eneo (lenye masharti ya kulitumia). pedestrian ~ n eneo la wenda kwa miguu. shopping ~ n -a maduka tu.