precede

vt,vi tangulia, sabiki. preceding adj tangulizi, -liotangulia. precedence n nafasi ya kwanza, umuhimu wa kwanza. have/take ~nce (over) fikiriwa kwanza, pewa umuhimu wa kwanza. precedent n kigezo; kitangulizi (cha jambo). set/create/establish a ~nt (for something) weka kigezo; wa mfano (wa kurejelea). precedented adj.