pre-empt

vt 1 (formal) wahi kununua kabla ya wengine kupewa nafasi. 2 wahi kufanya jambo kabla ya wengine. pre-emption n right of ~ ion haki ya kununua kwanza (kabla ya wengine) au mbele. pre-emptive adj (leg) -a haki ya shufaa.