prank

prank

1 n mzaha play a ~ on somebody fanyia stihizai, mzaha, n.k.. prankish adj -a mzaha; -enye kupenda mzaha.

prank

2 vi jipanga kiajabu (aghalabu kwa kivutia macho ya mtazamaji) ~ a meadow with flowers pamba konde kwa maua. ~ oneself (out) jipamba; jiona.