pour

vt,vi 1 mimina; mwaga. (fig) ~ cold water on something katisha tamaa (mtu). ~ missiles on a town shambulia mji kwa makombora. ~ oil on troubled water tuliza fujo kwa maneno ya upole. 2 toka/ingia kwa wingi; miminika. 3 (of rain) mwagika, anguka kwa wingi the rain is ~ing down mvua inanyesha sana. it never rains but it ~s (fig) hakuna msiba usiokuwa na mwenziwe.