pound

pound

1 n 1 (of money) pauni. (GB) ~ (sterling) pauni: pensi mia moja. 2 (of weight) ratili: wakia/aunsi 16. poundage n 1 ushuru ulipwao kwa kila pauni/ratili. 2 asilimia ya jumla ya mapato ya biashara. pounder n 1 kitu chenye uzani wa ratili fulani a six ~er mzinga wenye risasi za ratili sita.

pound

2 n zizi la kuwekea wanyama (ng'ombe, mbuzi, farasi n.k.) waliopotea; uga wa magari (agh. yaliyokamatwa).

pound

3 vt,vi ~ (away) (at/on) 1 twanga, ponda. 2 chakaza; funda. 3 enda, kimbia kwa nguvu. pounder n mchi au chombo chochote kinachotumika kwa kutwangia au kusagia.