post
post
1 n 1 mhimili, nguzo lamp ~s nguzo za taa starting ~ mahali pa kuanzia mbio winning ~ mahali pa kumalizia mbio. 2 (door~) mwimo, mhimili. 3 (bed ~) tendegu, mhimili wa kitanda. vt 1 ~ (up) bandika; weka matangazo. 2 ~ (over) jaza matangazo. poster n 1 tangazo, picha kubwa (inayobandikwa ukutani), bango. 2 bill (~ er) n mbandikaji matangazo/mabango.post
2 n 1 posta a heavy ~ mfuko mzito wa barua has the ~ come yet? barua zimefika? by return of ~ kwa posta ijayo send something by ~ peleka kitu kwa posta. postman n mtu wa posta. postmark n mhuri wa posta. 2 (post office) posta. the P~ office n Shirika la Posta. ~ office box n (P.O.) sanduku la posta (S.L.P.) by registered ~ kwa rejesta. ~ free adj -liokwisha lipiwa stempu; -enye kupelekwa bila malipo. 3 (hist) tarishi, mjumbe, tume. vt,vi 1 peleka barua na vifurushi kwa posta, tia posta. 2 ~ (up) andika katika daftari. 3 keep somebody ~ ed fahamisha fulani juu ya habari yote. 4 enda kwa farasi. postage n ada ya posta. ~ age stamp n stempu extra ~age gharama zaidi ya posta inland/ foreign ~age gharama ya kusafirisha barani/nchi za nje kwa posta. postal adj -a posta. ~al order n hundi ya posta. ~al service huduma za posta. ~al savings bank n benki ya akiba ya posta. postcard n postikadi. picture ~card n postikadi ya picha. postcode n simbo. ~restante n (F) mahali pa barua zinazongojea. postmaster n postamasta. Postmaster General n Postamasta Mkuu. postmistress n postamasta (wa kike). ~ -paid adj liokwisha lipiwa stempu. postage n ada ya posta. ~stamp n stempu extra ~gharama zaidi ya posta inland/foreign ~gharama ya kusafirisha barani/nchi za nje kwa posta. postal adj -a posta. ~order n hundi ya posta. ~service n huduma za posta. ~savings bank n benki ya akiba ya posta.post
3 n 1 mahali pa kazi; (mil) kilindo. 2 (of trade) kituo cha biashara, mahali pa kufanya biashara (porini). 3 cheo, daraja, nafasi katika kazi. the last ~ kamsa. vt 1 panga/weka walinzi. 2 tuma/peleka mahali pa kazi.post
4 (pref) 1 baada ya ~ war baada ya vita. postnatal adj baada ya kuzaa ~ primary baada ya msingi. postdate vt weka tarehe ya mbele.