post-mortem

n 1 uchunguzi wa maiti. 2 (colloq) mapitio ya tukio n.k. la wakati uliopita adj -a uchunguzi wa maiti.