positive

adj 1 -a hakika; halisi. 2 (definite) waziwazi, bayana, dhahiri. 3 -a kujenga; -a kusaidia a ~ suggestion wazo la kujenga. 4 (math) chanya ~ number namba chanya. 5 (electr) chaji/umeme upatikanao kwa kusugua kioo na hariri, umeme utokanao na ukosefu wa elektroni. 6 (of photo) picha (sura kwenye karatasi). positiveness n. positivism n (phil) falsafa umbile: falsafa inayozingatia tu mambo yanayoonekana na kujulikana vema na wanadamu. positivist n.