pose

1 n 1 mkao; sura, hali. 2 (pretence) kujifanya; sura ya kinafiki. vt,vi 1 panga/tayarisha mkao. 2 (pretend tobe) jifanya, jidai. 3 leta/ toa hoja/swali. 4 jiweka tayari kwa ajili ya kuchorwa/kupigwa picha. 5 ~as jifanya. poseur n (fem poseuse) mpenda makuu; mnafiki.