port

port

1 n 1 (harbour) bandari. free ~ n bandari huru (ambayo iko wazi kutumiwa na nchi zote bila kutozwa ushuru). 2 mji/jiji lenye bandari (k.m. Dar es Salaam). 3 (fig) mahali pa usalama, kimbilio. any ~ in a storm mahali pa usalama (wakati wa shida). ~ after stormy seas mapumziko baada ya hali ngumu.

port

2 n (naut) mlango wa ubavuni mwa meli. ~ hole n dirisha dogo ubavuni mwa meli/ndege; uwazi ubavuni mwa meli (kuruhusu mwanga/hewa).

port

3 n upande wa kushoto wa meli/ ndege (mtu anapokabili gubeti mbele).

port

4 n (~-wine) porto: divai nyekundu nzito tamu.