pork

n 1 nyama ya nguruwe. 2 (US) ~ barrel n (sl) mradi wa serikali/ruzuku yenye kuzaa faida ya kujijenga kisiasa kwa watu. ~ butcher n muuza nyama ya nguruwe. porker n nguruwe wa nyama.