populate

vt jaza watu. population n 1 (idadi ya) watu (wa nchi, mji n.k.). 2 (bio) mimea au wanyama wa sehemu fulani. populism n mfumo wa serikali/siasa inayojali maoni na fikra za umma. populist n mtu anayefuata mfumo huo. populous adj -enye watu wengi, -a kujaa watu.